top of page

MANENO MAZITO YA BILLNASS KWA NANDY IKIWA ANASHEREHEKEA SIKU YA MFANANO WA KUZALIWA

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa msanii Billnass mume wa msanii Nandy ambaye leo anasherehekea siku ya mfanano wa kuzaliwa Nenga amemuandikia ujumbe huu mkewe


"Katika Sala Na Dua ambayo Kila Siku Nikiamka Huwa Nakumbuka Kumshukuru Mungu na Kusema Ahsante... Ni Kukufanya Wewe Kuwa Sehem ya Maisha Yangu... Nakiri ya Kuwa Mwenyezi Mungu amenipendelea sana Kwa Kunipa Mwanamke Mzuri, Mwenye Akili, Hekima, Busara, Upendo, Umenizalia Mtoto Mzuri na Umetenga Muda wa Kumlea Vyema, Unanipa Furaha kila iitwapo leo kwa kunipa Faraja Maneno Mazuri Na Maono... Natamani Sana Ulimwengu Mzima Ujuwe Namna Ninavyokupenda... Kwa Bahati Mbaya Mm Sio Mzuri sana Kwenye Kuandika na Hayo ni Machache ninayoweza Kusema Mengine nitaandika Kwenye Kitabu chetu cha Mapenzi yaliyojaa Furaha... Chenye kutanabaisha Mazuri Yako Mengi... Heri ya Siku ya Kuzaliwa My Everything, My PYG, Rafiki Yangu a k a Mama Kenaya ❤️❤️ ❤️ ".

コメント


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page