Na Ramla Ramadhan
Mgombea wa kiti cha Urais wa Democratic Party nchini Marekani Kamala Harris amesema kuwa maoni ya Donald Trump kuhusu kuwalinda wanawake "kama wanawake watapenda au la" yanaonesha kuwa mgombea wa Urais wa Republican haelewi haki za wanawake
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2ac2cbfff5d74b6b909c3ef5eae934ce~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_2ac2cbfff5d74b6b909c3ef5eae934ce~mv2.jpeg)
Harris ameyasema hayo jana kabla ya kuanza kutumia siku hiyo kufanya kampeni katika majimbo ya magharibi ya Arizona na Nevada
Kulingana na Kampeni zinazoendelea Nchini Marekani kwa wagombea wa kiti cha Urais Trump amebaini haki za wanawake kutokutoa mimba hivyo kujivunia kwenye mikutano na wanachi wa Marekani kuwa atawalinda wanawake na atahakikisha hawatakuwa wanafikiria juu ya suala la kutoa mimba.
Comments