top of page

MAPACHA WALIOUNGANA MMOJA AOLEWA, MWINGINE AAMINI NAE SIKU ATAPATA WAKE, WANA NJIA 1 YA UZAZI

Kutana na hawa mapacha walioungana Abby na Brittany Hansel wana miaka 34 ambapo wameungana sehemu ya chini ya mwili kutokea kiunoni ikiwemo utumbo, njia ya mkojo pamoja



na uke wanatumia mmoja.

Sasa Abby na Brittany ni walimu wanafundisha darasa la 5 huko Minnesota, Marekani ambapo kwa sasa mmoja wao ambaye ni Abby amefunga ndoa na Bwana Josh Bowling sasa huyu Josh ni mwanajeshi mstaafu na nesi so kajibebea jiko hapo.

Huku Brittany na yeye anasema ipo siku atapata mwanaume anaye mpenda kwa dhati na yeye ataolewa ikumbukwe kuwa mapacha hao wana njia ya moja ya uzazi.

Haya sasa unajiuliza swali gani? Sina kesi maliza mwenyewe mdau.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page