top of page

MARIOO NA PAULA WASHEREHEKEA MIEZI 6 (NUSU MWAKA) TANGU AZALIWE MTOTO WAO AMARA


Ikiwa leo Novemba 3, 2024 inatimia miezi sita tangu msanii wa Bongo Fleva Marioo na mpenzi wake Paula wabarikiwe mtoto wao wa kike Amarah wameamua kusherehea miezi 6 ya kuzaliwa kwa mtoto wao huyo.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page