top of page

MASHABIKI WAMVAA ZUCHU KISA KAANDIKA "HAPPY BIRTHDAY BEST FRIEND" KWA DIAMOND

Caption ya Zuchu kwa ajili ya kumuwish Happy birthday mpenzi wake Diamond Platnumz haijawakosha kabisa mashabiki kwani wamewaka wakitaka Zuchu aandike upya kwani haijashiba, Zuchu kaandika hivi


"Happiest birthday to my boss, mentor, And best friend. May Allah keep you healthy and safe.M/Mungu Aendelee kupandisha ili uendelee kutuinua wenzio kama unavofanya. Happy birthday bigi"


Sasa bhana wadau wamekuja kuwasha moto baadhi ya Comments ni hizi

Niffer amecomment "Malizia I LOVE YOU JAMAN hii kapsheni haijakamilika" Wengine kama ifuatavyo


"ambao hatujafuraishwa na kapusheni sijui Tunacoment wapi"


"jinsi nilivyoingoja hii posti,,km hujafurahishwa na caption like here"


"On behalf of Zuh happy birthday my love my Rouhy... mdad wa watu anaogop mtamnange nyie wachambuz wa insta"


"Sikutegemea kama wishing yako itakuwa"


"Mbona caption kama haipo sawa"


HII NDIO CAPTION WENGI WALIKUA WANAISUBIRI "Happy birthday kipenzi Changu your my favorite Nasibu person to my life since day one, Enjoy your day my Husband to be I can't wait to be your baby mama alafu leo ukirudi usisahau Chocolate si unajua kijacho vile anapenda Nakupenda sana".


Sasa Zuchu kaona isiwe kesi kapost video nyingine nakuandika "Happy Chibu day everyone I LOVE YOU @diamondplatnumz "


Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page