top of page

MASTAA WAMWAGIKA KISA IDRIS KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE

Kwa muda mrefu mwigizaji Idriss Sultan amekuwa akimficha mpenzi wake kiasi hata anapohojiwa na waandishi hukwepa kabisa mtego huo. Lakini wanasema hisia za kweli hazifichiki hii leo amemua kupost picha mbalimbali akiwa na mpenzi wake huyo ambaye kwa muonekano wa picha nyingi mazingira kama si ya Tanzania.


Hajachimba sana ila kama unavyojua wabongo wape picha caption watamaliza wao, sasa mastaa mbalimbali wamefika kwenye post hiyo na kumwagika kama ifuatavyo


Billnass: "Kwani Umeuza Nini?? Nakujuwa inabid niongee na watu wa Bank account zako zifungwe kwa Muda usije ukabaki na Kofia tu"


Idris Reply: Alaaa


mauasama: Awwwww..!! Love is a thing


Idris Reply: It is @_.niffer._Allah awajalie ndoa yenye kheri


Idris Reply: @mc.suzy_theonlyone: Sasa picha zako unatuonyesha za nini Kaka Idrisa si uache tumuone yeye we tunakufahamu


Idris Reply: Mnajisahau tatizo


@johnlister_dir: umenasa kijana


Idris Reply: Nisiokolewe


mejakunta: Hii ipo kwa viwango tu


Idris Reply: TBS waliiona kwanza


patrickalsina: Kwani..... daaah aisee au basiii nimesoma sana commments tunaomba tu usimtag


Idris Reply: khatibsultan: Mwambie kabisa Ipo siku huyu naniliu atapewa jembe na mama asaidie kupalilia. Sasa mwambie asijisikie vibaya maana hiyo ndio love language ya mama. Muandae kisaikolojia asije kupata depression Niwatakie mapenzi mema. With love, From Bro to Bro.


Idris Reply: Picha kwenye comments kuona picha hizo na video. Kwa comments hizi ni wazi Idris kazama miguu yote kwa mrembo huyu.

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page