![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_1086c46b7cdd4a3caf367ce9c5a22a9c~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_1086c46b7cdd4a3caf367ce9c5a22a9c~mv2.jpg)
Msanii wa kizazi kipya anayekuja kwa kasi kunako game ya Bongo Fleva Admire ameachia wimbo wake mpya uitwao Mimi na wewe ambapo tayari upo kwenye Platforms mbalimbali za muziki hususani YouTube na Audiomack. Akizungumza na Msasa Online Admire amesema ngoma hiyo inaitwa mimi na wewe ambapo amewata Mashabiki waendelee kumpa sapoti.
Goma hilo lililobeba hisia kali linapatikana kwenye all Digital platform Video Tayari imetoka leo hipo YOUTUBE. Ameongeza kuwa "Maumivu ya mapenzi Niliopitia ndo Yamenifanya naandika Nyimbo hii iligusa Hispano zanguMi na We"
Comments