top of page

MAZIWA YALIYO MWAGIKA YAGEUKA BARAKA, BARABARA YAANZA KUJENGWA RASMI


Bila Shaka ulikutana na msambazaji wa maziwa nchini Kenya aliyeanguka na pikipiki yake iliyokuwa imesheheni maguduria ya maziwa kutokana na ubovu wa barabara? Ajali yake ya pikipiki imegeuka kuwa baraka kwa jamii yake baada ya Mkenya mmoja kujitokeza na kuamua kujenga sehemu ya eneo hilo korofi.


Ikumbukwe kuwa baadhi ya Wakenya waliguswa na tukio la kuanguka kwa 'bodaboda' huyo na kuamua kumsaidia mtaji wa kuendelea na biashara yake na sasa haijaishia hapo bali Barabara imeanza kujengwa na sasa hapo tunapata nguvu na faida ya mtandao.

Comments

Couldn’t Load Comments
It looks like there was a technical problem. Try reconnecting or refreshing the page.
Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page