Kylian Mbappé, anakaribia kujiunga na Real Madrid baada ya mkataba huo kusainiwa Real Madrid sasa wanatarajiwa kumtangaza Mbappé kama mchezaji mpya wiki ijayo, baada ya
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_64a7dcb3eadb4d69af0dbe24cfcae70a~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_64a7dcb3eadb4d69af0dbe24cfcae70a~mv2.jpg)
kushinda Ligi ya Mabingwa UEFA.
Kila hati imesainiwa, imefungwa, imekamilika.
Mbappé alifanya uamuzi wake mwezi Februari na kisha akakamilisha rasmi hatua zote za hatua hiyo kubwa hivyo kwa sasa anaweza kuchukuliwa kuwa mchezaji mpya wa Real Madrid.
Source: Fabriziorom
See less
Comments