top of page

MBEYA IMBOMBO JILIPOPAUL MAKONDA ALIVYOTUA

MBEYA IMBOMBO JILIPO

PAUL MAKONDA ALIVYOTUA

JIJINI MBEYA NI HAPATOSHI



Tuanze kwa kusema Mbeya Imbombo Jilipo yaani tukimaanisha Mbeya kazi ipo hii ni kufuatia mapokezi makubwa ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi Paul Makonda kuingia kwa kishindo Mbeya akitokea mkoani Songwe.

Wananchi wa Mkoa huo wameamua kumpokea Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda kwa gari iliyosheheni aina ya mazao yanayolimwa Mkoani humo wakisisitiza mazingira mazuri ya kilimo na upatikanaji wa pembejeo.

Ifahamike kuwa Makonda yupo katika Mkoa wa 15 wa ziara yake ya mikoa 20 kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM.

Picha zaidi sehemu ya Comments

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page