Mbio za kumsaka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu 2023/24 zimeendelea kuwa

moto baada ya mchezaji Feisal Salum wa Azam FC kufikisha mabao 16 mbele ya Aziz Ki wa Yanga SC kwa bao moja ambapo ana mabao 15.
Azam FC leo walikuwa wageni kwa JKT Tanzania ambapo wameshinda 2 - 0 mabao yakifungwa na Suleiman Sopu na Feisal Salum huku mechi wakisalia nazo 2.
Je nani ataibuka kidedea?
Comments