top of page

MCGREGOR AKATA RUFAA DHIDI YA HUKUMU YA KESI YA UBAKAJI

Na VENANCE JOHN


Mpiganaji wa zamani wa sanaa ya mapigano mchanganyiko (Mixed Martial Art) Conor McGregor atakata rufaa dhidi ya kesi ya ubakaji.


Mwaka jana, mwanamke kwa jina la Nikita Hand aliyemshtaki McGregor kwa kumbaka alishinda dhidi yake na kudai fidia. Mahakama iligundua kuwa McGregor alimpiga Nikita Hand katika hoteli ya Dublin mwezi Desemba mwaka 2018.


McGregor aliamriwa kumlipa Nikita Hand zaidi ya dola 206,000 kama fidia. Sasa imethibitishwa kwamba McGregor amekata rufaa dhidi ya hukumu hiyo katika mahakama za Ireland Ijumaa iliyopita.

コメント


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page