Mtangazaji wa Wasafi TV Mchaga OG anayetangaza kipindi cha Refresh amepewa zawadi ya gari aina ya Crown na Boss wake Diamond Platnumz ambaye ni Mkurugenzi wa kituo hicho.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mchaga ametoa shukrani kwa Boss wake akiandika ujumbe huu
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_c7cbc0aa9d9c4020933b76a5d1c5a1e0~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_c7cbc0aa9d9c4020933b76a5d1c5a1e0~mv2.jpg)
"SIKU ZOTE WAKATI WA MUNGU NI WAKATI SAHIHI, NA SIKU ZOTE UKIFANYA KAZI KWA BIDII LAZIMA UTAVUNA MATUNDA MAZURI, NA HAYA NDIO MATUNDA YA KAZI YANGU.
KIPEKEE KABISA NIKUSHUKURU MY BIG BOSS @diamondplatnumz KWA KWA ZAWADI HII KUBWA, UMEFANYA JAMBO KUBWA SANA KWENYE MAISHA YANGU, NAKOSA MΑΝΕΝΟ ΜΑZURI YA KUKUSHUKURU ILA NASEMA ASANTE UMEACHA ALAMA KUBWA KWENYE MAISHA YANGU NA CAREER YANGU. GOD BLESS YOU.
NITAKUWA MCHOYO WA FADHILA NISIPOWASHUKURU VIONGOZI WANGU AMBAO MUDA WOTE MMEKUWA MKINITENGENEZA KWA MAWAZO, MAONYO NA MAELEKEZO MBALIMBALI, @nelsonkisanga_ @jamal_april @donfumbwe @bekamipango @neemalugalata @ricardomomo @sparrowjunior SINA CHA KUWALIPA ILA
NASEMA ASANTEA
MAMA YANGU @mama_dangote ASANTE SANA
GUYS TUKUTANE SHELI" Ameandika @mchaga_og
Commentaires