top of page
Radio on air

MCHEKESHAJI MULAMWAH NA MKEWE WAANDAA MAANDAZI KUWAPA WAANDAMANAJI KENYA...


Mchekeshaji wa Kenya Mulamwah na mkewe wameandaa maandazi na chai kwa ajili ya kuwatia nguvu waandamanaji nchini humo ambao hadi hivi sasa wameingia katika majengo ya Bunge yaliyopo katikati ya Jiji la Nairobi na kuondoka na samani vikiwamo viti.

Ikumbukwe kuwa Maandamano hayo yaliyoanza wiki mbili zilizopita, yamelenga kupinga vifungu vya muswada wa fedha kwa mwaka 2024 ambao wabunge 195 walipiga kura kupitisha muswada huo, huku 106 wakipiga kura kukataa sheria iliyopendekezwa.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page