top of page
Radio on air

MCHEZAJI MIAKA 16 KUSTAAFU SOKA MWISHO WA LIGI KISA MPENZI WAKE "ACHA KUCHEZA MPIRA NDIO UNIOE"



Mchezaji mwenye kipaji kikubwa cha soka wa Somalia, Abdihafid Abdi (16) anasema, atastaafu soka baada ya ligi nchini humo kumalizika mwezi ujao kwa sababu ya mwanamke ambaye anataka kumuoa amemshauri aache kucheza soka kabla ya kumuoa.

Kijana huyu amewahi kushinda tuzo ya mchezaji bora katika mashindano ya CECAFA U-20.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page