top of page
Radio on air

MCHEZAJI TUNAEMTAKA ABAKIATABAKI TU HATA AKIHITAJI TUMPE DUNIA NZIMA - AHMED

Wakati joto la usajili likiendelea kupamba moto Meneja habari na mawasiliano wa klabu ya



Simba SC Ahmed Ally amefunguka haya

"Tunaemtaka atabaki tuu hata akihitaji tumpe dunia nzima ili abaki Simba tutampa ili abaki kwa maslahi ya Simba, kwa ufupi ni kwamba hatushindwani na mahitaji ya mchezaji".

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page