![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_40b76f4ec37246bdb240ea90c36a7f82~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_40b76f4ec37246bdb240ea90c36a7f82~mv2.jpeg)
Unaambuwa Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Nigeria na
Bayer Leverkusen, Victor Boniface, aliachana tu na mpenzi wake raia wa Norway kwa sababu alisisitiza kwamba lazima wafunge ndoa kihalali.
Wawili hao walichumbiana kwa zaidi ya miaka minne, lakini Bi dada akaona anachelewa kuvaa shera akaendelea kusisitiza anataka ndoa. Baada ya kumpa presha mshambuliaji huyo wa Super Eagles, aliamua kusitisha uhusiano huo mara moja. Hii ni wazi kabisa Boniface anakimbia kuokoa maisha yake kimapenzi na pesa.
Comments