Mchezaji wa klabu ya soka Azam FC Nathaniel Chilambo ameweka wazi kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake Faith ambaye ndio mwanamke ambaye ameamua kuambatana naye katika safari yake ya maisha. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka maneno mazito kwa kimombo juu ya tukio hili
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_4ee41566e46845f198e74e6ba400ef3e~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_4ee41566e46845f198e74e6ba400ef3e~mv2.jpg)
"My wife Faith u are the girl that i love and want to share my heart with and u my greatest bleassing. I cherish every laugh, every conversation and every shared dream we have together. As we we jorney through life, my greatest hope is to be by ur side for as long as God allows Mama I don't care what happens, I want to be there for u and support no matter what happens I LOVE U"
Comentarios