top of page

MHANDISI MKAMA BWIRE, KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU DAWASA

Mhandisi Mkama Bwire ameteuliwa kushika nafasi ya Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) katika kikao maalum cha Waziri wa



Maji na Bodi ya Wakurugenzi DAWASA kilichofanyika leo tarehe 04 Julai, 2024 ofisi za DAWASA Dar Es Salaam.

Mhandisi Bwire ni Mtumishi wa Wizara ya Maji ambae amehudumu kama Mhandisi wa Maji katika Halmashauri ya Kibaha, Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) na hadi anapokea jukumu hili alikua ni Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini katika Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA).

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page