Ikiwa ni miezi miwili toka ajifungue mtoto mwanadada Paula ambaye wazazi wake wote ni
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_bb0e1b38e67a42bb8d2ffc01dd3cf355~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_bb0e1b38e67a42bb8d2ffc01dd3cf355~mv2.jpg)
mastaa yaani mtayarishaji wa muziki P. Funk Majani na muigizaji wa Bongo Movie Kajala rasmi ameenza mitoko akiwa na mwanae.
Paula ambaye amezaa na staa wa Bongo Fleva Marioo wiki mbili zilizopita alifanya 40 ya mwanae Amara na sasa rasmi wameanza kula misele ya hapa na pale kama unavyowaona kwenye picha wakiwa kwenye hoteli ya Kimataifa ya Serena jijini Dar es Salaam.
Comments