Nianze na swali je umeshawahi kupoteza rafiki kwa sababu ulimkopesha? Au Ulikopeshwa ukashindwa kurejesha urafiki ukafa? Kutoka kwa msanii mkongwe wa Bongo Fleva @mwasitij
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_00f43fa2a1ae40ff890bd1bcda729ac1~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_00f43fa2a1ae40ff890bd1bcda729ac1~mv2.jpg)
anasema
"Mikopo mingi inaua urafiki wa watu wengi .....marafiki wengi wanaokopeshwa hawarudishi na kitakachofuata ni mnuno na mawasiliano yatakatwa"
Comentários