Kutoka kwa Mtangazaji wa Wasafi FM Diva The Bawse amefunguka haya
"Hi guys. Mimi na @sheikh_abdulrazak_salum Hatuko tena ktk ndoa. Nimejitoa mwenyewe na

nimerudisha vitu alivyonipatia wakati ananioa.
At some point i feel no love for him anymore hivyo siwez jilazimisha kuishi nae for a tv show or anything. kwa sasa would love to have Peace of mind mwenyewe n focus na mambo yangu Mwenyewe.
I wish him the best in life bila ugomvi wala anything. Ni maamuzi nimeyafanya kwa akili zangu binafsi. Mungu ampe kila hitaji la Moyo wake. sio kiki sio attention sio anything. Imetoka ndani Ya Moyo wangu' bila chuki bila hasira bila chochote!. Nimemweleza yeye sababu hakutaka toa talaka nikapata njia niliyoelezwa pia kidini inafaa na nimetekeleza so that i can be happy n peaceful." @divatheebawse
Comentarios