top of page

MKE WA KAKA ALIMUACHA MUMEWE KISA ALIKUWA MKAMILIFU KUPITA KIASI "HAKUNA USALITI, MWEMA MNO"

Hivi bora chungu au tamu? Upewe nini? Raha au Karaha? Kweli binadamu haeleweki wakati wengine wakitamani kupata wanaume waaminifu wenye upendo wa dhati, kujali familia na



kuhakikisha wana furaha muda wote kwa mke wa Kiungo matata wa zamani pale Real Madrid na AC Milan Kaka kutoka Brazili kwake ni tofauti kwani ameeleza sababu ya kwenda kudai talaka ili aachane na mumewe huyo ambapo alitaja sababu ni kwamba mwamba alikuwa mume mkamilifu kupitliza "Kaka hakuwahi kunisaliti, alinitendea vizuri, alinipa familia ya ajabu, lakini sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kilikosekana. Shida ilikuwa ni kwamba alikuwa kamili sana kwangu" Vipi unamuunga mkono au alizingua?

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page