Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Msemaji wa Yanga SC ameandika ujumbe huu kwa mkewe
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_36a600ec23314b118c641d578a98588d~mv2.jpg/v1/fill/w_526,h_526,al_c,q_80,enc_avif,quality_auto/57c8da_36a600ec23314b118c641d578a98588d~mv2.jpg)
"Mke wangu kipenzi Zainab, Wananchi wameniomba kitu nikwambie hadharani, Wanaomba uniruhusu Bugati kwa wiki hii ambayo tuna tui letu la tarehe nne, niwe nachelewa kurudi nyumbani ili nikimbizane na Promo ya Wiki ya Wananchi!!. Sijawahi kukurudia home zaidi ya saa kumi jioni toka nilipokuoa, wanaomba kwa wiki hii tu niwe narudi hata saba usiku au ikiwezekana Alfajiri
Hope Utawakubalia Wanayanga na utawaelewa my beautiful wife." Jibu la mkewe likawa ni hili ,"Hakuna shida baba As long as na mie uniruhusu tu kutoka out za hapa na pale huo muda utakaokuwa haupo nyumbani Nisiboeke!" @hajismanara. Manara nae akajibu tena "Kaa ndani uangalie Tv, au ucheze na Watoto".
Comentarios