top of page

MNAOMFAHAMU ASKARI HUYU MWAMBIENI NINA ZAWADI YAKE - ALLY HAPI

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Katibu Mkuu Jumuiya Wazazi CCM taifa (MNEC) Ally



Hapi amechapisha picha hii ya Askari akifunga kamba za viatu kwa mtoto huyu wakati akiwavusha barabara ambapo picha hii inaonekana imemgusa kiasi cha kuandika ujumbe usemao

"Mnaomfahamu askari huyu, mwambieni mzazi nina zawadi yake."

See less

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page