Huenda mwanamuziki wa Bongo Fleva #Aslay anataka kugeukia tasnia ya filamu na kuupa kisogo muziki kwa muda kwani kupitia ukurasa wake wa Instagram amewauliza mashabiki

zake kwamba
"Mtu wa Maana Kabisa Mnataka kuniona kwenye tamthilia gani?" Ameuliza Aslay.
Mkali huyo wa muziki mwenye kipaji cha aina yake aliibuka toka akiwa mdogo kupitia kituo cha mkubwa na Wanawe cha Mkubwa Fella ambapo amefanya vyema kwa miaka mingi sasa kwenye muziki. Je akigeukia filamu unadhani atafanya vizuri.
Comments