top of page

MPIGA PICHA WA MILLARD AYO NA AYO TV AFARIKI DUNIA..

Taarifa iliyotufikia mezani muda huu Mpiga Picha na wwandishi wa Habari wa @millardayo



@ayotv_ Noel Mwingila maarufu kama Zuchy Zuchero amefariki dunia Alfajiri ya leo Baada ya Kupata ajali ya Pikipiki jijini Dar es salaam.

Msasa Media tunatoa Pole kwa Familia, Ndugu Jamaa Pamoja na Team ya Millard Ayo & Ayo Tv. Mungu ailaze roho yake mahali Pema Peponi.

Taarifa zaidi tutakujuza.

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page