top of page

MPIRA MZURI NI KESHO WALA HATUPIGANI UWANJANI - AHMED

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed



Ally ameandika maneno haya

"Mpira mzuri ni kesho na mpira wa kistaarabu ni kesho, Tutamfunga mtu Insha Allah na tutaondoka Uwanjani kwa furaha wala hatupigani".

Unadhani ana maana gani?

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page