Msanii wa Bongo Fleva Linah amefunguka haya kupitia ukurasa wake wa Instagram
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_ccac91423fcb4c1d90fa718b96207206~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_ccac91423fcb4c1d90fa718b96207206~mv2.jpg)
"Nashangazwa sana na watu wanavyoshambulia wenzao kuhusu kuzeeka dah, tena mtu anacheka kabisa 'Umezeeka' swali ni kwamba kwani wenzetu nyinyi mpo palepale?umri hausogei au mlishushwa tu hamkuzaliwa".
"Yaani mtu baada kumshukuru Mungu unaishi miaka mingi unaanza kutia kasoro duh, nina furaha na miaka 34 yangu kikubwa pumzi jamani".
Comments