top of page

MSASA MEDIA KWENYE TOP 10 MEDIA ZILIZOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBE IKIWA NI MWEZI WA 3 MFULULIZO...

Media yako pendwa ya Msasa Media imeendelea kufanya vyema kwenye Chati ya Media zinazofanya vizuri kwa kila mwezi kwa kupata watazamaji wengi zaidi ambapo katika takwimu ya kumi bora inayotolewa na@chartstanzaniatumeingia kwa mara ya tatu mfululizo kutoka



Machi, Aprili na Mei.

Mwezi wa Machi tulishika nafasi ya 7 tukiwa na watazamaji Milioni 4.87 mwezi Aprili tukashuka nafasi ya 9 tukiwa na watazamaji Milioni 4.8 lakini mwezi Mei tumepanda nafasi ya 8 tukiwa tumepata watazamaji Milioni 5.6, Uongozi wa Msasa Media na Wafanyakazi wake unawashukuru watazamaji wetu wote na kuomba sapoti yenu iendelee kuwa nasi siku zote nasi hatutowaangusha. #MsasaKisasaZaidi

See less

Comentários


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page