top of page

MSASA MEDIA USO KWA USO NA TOM ABONGILE PIRATO WA SIMBA SC VS AL AHLY CAFCL




Kutoka Dar es Salaam ni Mwandishi wetu wa Msasa Media Godson Mbilinyi akiwa na mwamuzi wa kati Tom Abongile kutoka Afrika Kusini ambaye atasimamia mchezo wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika wa Simba Vs Al Ahly Ijumaa ya kesho machi 29 majira ya saa 3 usiku Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam Tanzania.


Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page