top of page

MSASA MEDIA YAINGIA TOP 10 MEDIA ZILIZOTAZAMWA ZAIDI TANZANIA NDANI YA MWEZI MACHI 2024...




Chombo chako pendwa cha habari Msasa Media kupitia akaunti yao ya YouTube kimefanikiwa kuingia kwenye orodha ya media zilizotazamwa zaidi kwa mwezi Machi 2024 hii ikiwa ni mara ya kwanza kuingia kwenye orodha hii ambapo tumeshika nafasi ya saba tukiwa na watazamaji Milioni 4.87 Hii ni kwa mujibu wa @chartstanzania ambao hutoa takwimu za watazamaji na wasikilizaji kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo YouTube pamoja na majukwaa ya kusikiliza muziki kama #Boomplay, #Audimack n.k Uongozi wa Msasa Media umetoa shukrani kwa wadau, watazamaji wake wote na mashabiki kwa ujumla na kuomba ushirikiano wao ili kwa pamoja tuendelee kusonga mbele na kuwapa kilichobora kabisa.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page