top of page

MSEMAJI WA TABORA UNITED AMWAMBIA WA SINGIDA BSWAKIWAFUNGA BASI AMUOE BURE


Heka heka za Ligi Kuu ya NBC leo zinaangukia kwa Msemaji wa @taborautd.fc @mwagala.christina ambaye amesema kama kesho timu yake ya @taborautd.fc ikifungwa na timu ya @singidablackstarssc yupo tayari kuolewa na msemaji wa @singidablackstarssc @massanzajr bure bila kutolewa mahari.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page