top of page

MSIPITILIZE KUNIPA SIFA ZA UONGO - ZUCHU

Staa wa Bongo Fleva Zuchu ameamua kutoa ya Moyoni baada ya taarifa kusambaa kuwa amebeba mabegi nyumbani na kumuacha Diamond Platnumz peke yake kisa alimpandisha Stejini Ex wake Sarah ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram Zuchu amefunguka haya

I KNOW MIMI NI MAARUFU NA KUONGELEWA NI KAWAIDA BUT KINDLY MSIPITILIZE KUNIPA SIFA ZA UONGO MRADI KUMPAMBA BOSS ESPECIALLY KWA MEDIA YA NYUMBANI AMBAYO MNAWEZA PIA KUPATA UKWELI WA MAMBO MKABALANCE STORY



ZENU.

THIS IS EXACTLY WHY I LEFT UNACHOKA TU KUA NA MWANAUME ANAEKUSUKUMA KWA WATU UTUKANWE NA YEYE NDO ANAETUMIKA KWENYE KUDHALILIKA KWAKO.MWANAMKE WAKE NDO KANYAGIO LA KILA ALIEMZUNGUKA AKIAMUA TU BASI YEYE HUUNGANA NAO NA KUWAPA VICHWA VYA KUNIVUNJIA HESHIMA ILHALI UMEKAA KIMYA AND ALL YOU DO IS SWALLOW .I TRY TO BE THE GOOD AND THE ONLY WEAK LINK IN MY LIFE IS HIM.MNIACHE KUONDOKA NIWE MABEGI JUU NIWE NINI MBONA HAMKAI KUSEMA SABABU ZAKE YEYE ANAESABABISHA MTU YOU WANT TO LEAVE.BABY MOMMAS WAKIAMΚΑ ΝΑ HASIRA WAJE NA YAO PAKUTUPIA ATTITUDE ZAO KWA ZUCHU

MAEX NISOWAJUA CONTENT YAO WANAPEWA WAKUMSEMA NI ZUCHU MAADUI ZANGU ASHIRIKIANE NAO WAKIKAA NA HUYO MWANAUME ANAWAPA NGUVU NI ZUCHU.

AM DONE" Ameandika Zuchu.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page