
Unaambiwa za ndani kabisa Penzi la Whozu na Wema Sepetu limerudi kwa kasi ya 5G baada ya wawili hao kukorofishana siku kadhaa hapo nyuma ambapo hilo limethibitshwa na Whozu mwenyewe akipost picha hizi akiwa pamoja na Chimama wake ambapo leo hii wameonekana maeneo wakiwa mtoko kupata Iftar.
Comments