top of page

MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA JAHAZI CLOUDS FM GADNER G. HABASH AFARIKI DUNIA...



Taarifa za Simanzi zilizotufikia mezani hivi punde Mtangazaji Kinara wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Gadner G. Habash amefariki dunia leo April 20, 2024.

Gadner maarufu kama 'Captain' ambaye pia ni Baba wa msanii wa Bongo Fleva Malkia Karen aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Msasa Media Tunatoa Pole kwa Familia, Clouds Media Group, Ndugu Jamaa na Marafiki. Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amen .

Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.

コメント


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page