Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki ambaye kwa kipindi kirefu sasa amekuwa akiishi nchini Marekani huku mkewe na familia yake wakisalia Tanzania amefunguka haya ,"Huu Ni Mwaka Wa 5 Sijazini!! Sijavunja Amri Ya 6!! Na Siumwi Wala Sijafa!!
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_07327da93d3145a1b8abc8bdd3c116de~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_07327da93d3145a1b8abc8bdd3c116de~mv2.jpg)
Hakika Ukiamua Kuwa Mwaminifu Kwenye Ndoa Inawezekana!! Wanaoshindwa Wanajiendekeza Tu!! Mungu Ni Mwema Sana BE INSPIRED BRO!!"
Kommentare