top of page

MWANAFUNZI WA DARASA LA SITA AJINYONGA KISA KUFOKEWA AKITAKIWA KWENDA SHULE

Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Sinde, Manispaa ya Lindi, Hussen Hassan Machela (14) amejiua kwa kujinyonga baada ya Baba yake mdogo kumlazimisha aende Shule



huku Mtoto huyo akidai hawezi kwenda kwakuwa sare zake zimeloa na maji.

Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi, limetokea March 18,2024 saa nane mchana, Mtaa wa Sinde Kijiji cha Kitumb…

See more

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page