Huu ni mtazamo wa mwigizaji @idrissultan vipi unaupa Yes au No?
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b995c6b218bd402aafd52a5c9fc1f053~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_b995c6b218bd402aafd52a5c9fc1f053~mv2.jpeg)
"Mwanamke atatoa mchango wa harusi 70k ila atakuja kwenye harusi ametengeneza outfit ya 2M huku amenunua special nywele ya 3M. Mda wa zawadi atakuja mbele na kukupa mabusu tuu au akitisha sana zawadi ya blender au microwave. Asante wataalam."
Comentários