
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Harnaam, mwenye ndevu kwa sasa anasambaa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kulalamika kutopata mchumba.
Katika kipande hicho cha mahojiano kinachoendelea kusambaa kwa kasi hivi sasa mtandaoni, mwanamke huyo ambaye ana ndevu nyingi anaonekana akizungumzia ugumu wa kupata mpenzi kutokana na nywele zake hizo nyingi za usoni.
Comments