top of page

MWANAUME ALIYEPANDIKIZWA FIGO YA NGURUWE AFARIKI DUNIA MIEZI 2 BAADA YA UPANDIKIZAJI...

Miezi miwili Msasa Online tulikupasha juu ya taarifa ya Mwanaume mwenye umri wa miaka 62



aliyetambulika kwa jina la Richard Slayman ambaye alikuwa binadamu wa kwanza kupandikizwa Figo ya Nguruwe, sasa taarifa tulizozipokea dawati la habari ni kwamba mwanaume huyu amefariki dunia siku ya jana.

Richard amefariki dunia baada ya kukaa na figo hiyo kwa muda wa miezi miwili.

Ikumbukwe kuwa zoezi hilo la kupandikizwa Figo ya Nguruwe lilifanyika kwenye Hospitali ya General Hospital huko Massachusetts nchini Marekani Marekani.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page