![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_27dbece4034843978ac53918da94c27c~mv2.jpg/v1/fill/w_147,h_147,al_c,q_80,usm_0.66_1.00_0.01,blur_2,enc_auto/ca9c0e_27dbece4034843978ac53918da94c27c~mv2.jpg)
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akimkabidhi Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mh. Peres Magiri Mwenge wa Uhuru mara baada ya kuupokea Mwenge huo kutoka Mkoa wa Mtwara.
Mwenge wa Uhuru kwasasa Upo Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma ukiendelea kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo.