top of page

MWEZI UMEANDAMA KESHO SIKUKUU YA EID




Ofisi ya Mufti wa Zanzibar kupitia Kamati ya kutazama mwezi, leo jumanne April 09,2024 imethibitisha kuwa mwezi umeandama hivyo kesho itakuwa ni Eid Mosi.

Akisoma taarifa hiyo Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, amesema kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh Saleh Omar Kaabi wanatangaza kuwa mwezi umeandama.

Vipi mwaliko upo mdau?

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page