![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b53622f5b220419092e01aa953a905cd~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_b53622f5b220419092e01aa953a905cd~mv2.jpeg)
Mwigizaji wa Bongo Movie Aunty Ezekiel ameweka wazi kutimiza miaka 34 tangu Kuzaliwa kwake ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka haya
"Thank God 34 yrs Sio Padogo.... ΝΙΜΕΡΑΤΙΚΑNA by @kusah Link kwa Bio yake Ila hadi nw Sijajua aliepatikana kati yangu na yy!"
Comments