top of page

MWIGIZAJI BI UBWA WA ZAHANATI YA KIJIJI NA JOTI TV AFARIKI DUNIA...

Taarifa zilizotufikia mezani mchana huu zinaeleza kuwa muigizaji wa maigizo nchini aliyefanya



vizuri katika tamthilia ya Zahanati ya Kijiji ambaye pia huigiza kupitia Joti TV Bi Ubwa au Mama KasiKasi amefariki dunia leo. Taarifa zaidi zitakujia.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page