top of page

MWIGIZAJI MR IBU AFARIKI DUNIA

MWIGIZAJI MR IBU AFARIKI DUNIA...




Taarifa zilizotufikia mezani hivi punde Mwigizaji na mchekeshaji maarufu wa Nollywood, Mr Ibu amefariki dunia katika hospitali ya Evercare alipokuwa akipatiwa Matibabu.

Mwigizaji huyo wa Nigeria, ambaye jina lake halisi ni John Okarfor (62), tangu Oktoba 2023, alikuwa akipambana na matatizo ya afya ya damu kuganda hadi kupelekea kufanyiwa upasuaji mara kadhaa, na kusababisha kukatwa kwa mguu wake.

Muigizaji huyo aliaga dunia katika hospitali ya Evercare katika jimbo la Lagos Jumamosi, Machi 2.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page