![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_3814583002f147999ea2c7b7d73c5109~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_3814583002f147999ea2c7b7d73c5109~mv2.jpeg)
Kampuni ya PREMIUM ACTIVE TANZANIA Limited, imetoa madawati 83 wilayani Namtumbo, kati ya jumla ya madawati 1000 waliyotoa mwaka huu kwenye wilaya za Chunya, Songwe, Namtumbo, Tanganyika na Halmashauri ya Nsimbo yenye thamani ya Tzs 71,070,000/=
Mbali na madawati pia Premium Active Tanzania Limited imetoa vifaa vingine kama Computers, photocopies printers, executive tables, executive chairs, Aluminum windows, office cabinets, cements vyenye thamani ya jumla ya Shilingi za Kitanzania 112,469,890/= kwenye wilaya za Chunya, Songwe, Tanganyika, Mlele na Halmashauri ya Nsimbo.
Comments