top of page
Radio on air

NATAMANI NEMBO YA YANGA IWE KWENYE NOTI - DR. MWIGULU

Akisoma Bajeti Kuu Bungeni Dodoma Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema



"Rai yangu kuwa tuendelee kuhamasisha michezo mingine ili Nchi yetu iweze kushiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na hatimaye kurudi na tuzo au makombe, aidha napenda kutumia fursa hii kuipongeza Timu ya YANGA kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini kwa mara ya tatu mfululizo na Kombe la Shirikisho"

"Yanga ni Wafalme wa soka la Tanzania, natamani kumshauri Gavana wa Benki kuu kuweka nembo ya klabu ya Yanga kwenye noti ya shilingi 100 kuyaenzi mafanikio haya" Dr. Mwigulu Nchemba.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page