Leo Mei 20 ni siku ya mfanano wa kuzaliwa kwa mtoto wa mchezaji wa klabu ya Yanga SC
Aziz KI ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram amempost mwanae na kumuandikia ujumbe huu
"Happy birthday my princess nakutakia ukue katika hekima kiafya mafanikio asante kwa kunishirikisha kila jambo furaha yako miaka 4 unayonipa nguvu ya kukabiliana na kila changamoto ubarikiwe na MUNGU akulinde daima akulinde nakupenda"
Comentarios