Leo Mei 21 ni siku ya mfanano wa kuzaliwa kwa mtoto wa Dancer maarufu wa staa wa
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_76ddc43c9046460989dff189150e134b~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_76ddc43c9046460989dff189150e134b~mv2.jpg)
Bongofleva Diamond Platnumz aitwae Mose Iyobo, binti yao huyu Cookie amezaa na muigizaji wa Bongo Movie Aunty Ezekiel.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mose Iyobo amepakia picha akiwa na mwanae na kuandika "Happy birthday my lovely daughter"
留言